Hii Hapa List ya Top Ten Makampuni Bora ya Ndege Duniani


Skytrax ambao huwa wanatangaza viwango vya ubora vya Mashirika mbalimbali ya Ndege kila mwaka duniani wametangaza Ndege bora kwa mwaka 2021 kwa kuzingatia huduma mbalimbali zinazotolewa.

1. Qatar Airways
2. Singapore Airlines
3. ANA All Nippon Airways
4. Emirates
5. Japan Airlines
6. Cathay Pacific
7. EVA Air
8. Qantas Airways
9. Hainan Airlines
10. Air France

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad