Johari "Kwasasa Nipo Tayari Kuolewa na Mwanaume yoyote"



Muigizaji mkongwe hapa Tanzania JOHARI CHAGULA katika mahojiano na kipindi cha Refresh (Wasafi Tv) amefunguka sababu za yeye kutopata mume mpaka sasa na kusema kwamba yupo tayari kuolewa na mwanaume wa aina yoyote Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Mimi ni mkubwa kiumri kwa kweli Watanzania mjue kua mimi ni mkubwa.Wanaume wapo wengi wanaotaka kunioa ila wote unakuta washaoa wanataka niwe Mke wa pili mimi kwa kweli siwezi ila kwa sasa nipo tayari kuolewa na mwanaume yoyote sitaki kuchagua sana ila cha muhimu anisaidie na kunisupport katika kila jambo ninalo lifanya"-Ameongea Johari


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad