Jose Chameleon Kurejea na ‘Forever’ Baada ya Aliyopitia

 


Baada ya kupata matatizo ya Ini na Kongosho hadi kupelekea kulazwa hospitalini, nguli wa muziki kutokea nchini Uganda, Jose Chameleone (42) amedokeza ujio wa wimbo wake wa kwanza 'Forever' baada ya kupona.

Wimbo huo amepanga kuutoa mwezi Oktoba 9 mwaka huu ambapo itakuwa siku ya Uhuru nchini Uganda huku ukiwa umetayarishwa na Ian Pro na Yaled 

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad