Jux "NIKIPATA Mpenzi Mpya Huwa Namsahau wa Zamani Mazima"




Juma Jux amewahi kuulizwa kwenye mahojiano na Millardayo kuwa njia ipi ambayo huwa anaitumia kumsahau mtu ambaye alikuwa naye kwenye mahusiano .

Jux alisema kwa upande wake kuwa inategemea kama ni rafiki basi pale atakapoungana urafiki na mtu mwingine basi anamsahau aliyekuwa naye kwasababu tayari kashapata gang Mpya '

Kama ni mpenzi basi akishampata mwingine automatically anamsahau aliyekuwa naye hafuti namba wala nini ila zinaweza ziwepo na asiwe na muda nazo 😊 ( kwahiyo ndugu Yetu Juma namba bado hajafuta !!??😊 )
.

Wewe ni njia ipi huwa unaitumia kumsahau Ex wako ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad