Kesi ya Morisson na Yanga Bado Mambo Mabichi, CAS Wasogeza Mbele siku ya Hukumu


CAS ambayo ni Mahakama ya Usuluhishi ya Shirikisho la soka Duniani imesogeza tena mbele kutoa maamuzi ya kesi kati ya mchezaji wa simba #BernardMorrison na klabu yake ya zamani ya @yangasc iliyo tarajiwa kutolewa leo September 21, na kwa sasa itatolewa Oktoba 26 mwaka huu.

Mmoja ya Mawakili anayewakilisha Yanga katika kesi hiyo Alex Mgongolwa amesema amepokea taarifa ya CAS leo ikieleza sasa hukumu hiyo imesogezwa mbele mpaka Oktoba 26, na kueleza kua ukiona hukumu inasogezwa mbele basi mleta shauri ana hoja hivyo wanasubiri maamuzi kutoka CAS.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad