Kiongozi wa al-Qaida aliyevuma amefariki atokea katika video ya Septemba 11
0Udaku SpecialSeptember 12, 2021
Kiongozi wa al-Qaida Ayman al-Zawahri ameonekana katika kanda mpya ya video kuadhimisha miaka 20 ya mashambulizi ya Septemba 11, miezi kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa alikuwa amefariki.