Kumekucha, Maua Sama Amefanya Ngoma na T Pain wa Marekani, Atangaza Kuiachia


Star Wa Muziki Nchini 🇹🇿 @mauasama Adokeza Kolabo Yake Na Rapa Kutokea Nchini Marekani 🇺🇲 @tpain

#MauaSama Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kuthibitisha Hilo Akionesha Chats Zake Pamoja na Rapa Huyo, Huku Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Ikisikika

"… And It’s happening soon 🤍🤍🤍 Kesho (FRIDAY) @ 08:30AM muda wetu ni ule uleee! 🌺 x 🐐 x 🔇"


Hivyo Huenda Kesho Nyota Huyu Akaachia Ngoma Hiyo Aliomshirikisha #Tpain

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad