Simba leo walikuwa wanaongelea kuhusu Jezi yao na kutangaza siku watakao zindua jezi mpya, katika mkutano huo Mwijaku DC wa Insta alipewa nafasi ya kuongea na kitu ambacho Kimezua Mjadala huenda Anaandaliwa kuwa Msemaji wa Simba...
✍️ Shabiki wa simba hii imekaaje kwako?...