Mtoto wa staa maarufu wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na Prodyuza maarufu Paul Matthyes "P.Funk" Paula ameondoka leo Septemba 30, kuelekea chuo, nchini Ukraine ambapo ameongozana na mama yake mzazi, ambaye anamsindikiza.
Kuondoka kwa Paula, kutawafunga midomo baadhi ya watu ambao waliokuwa wakisema mtoto huyo hawezi kusoma.
Habari/video @imeldamtema