Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki.
Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye hatua yao ya asili.
Na kutoka hatua hiyo ya kuwa mchanga , anaanza tena kukua. Kwa bahati nzuri, hakuna kikomo kwa idadi ya nyakati ambazo wanaweza kufanya hivyo! Kwa hivyo, kiumbe huki kinaweza kuishi idadi isiyo na kipimo.