@lukambaofficial Sijui ni skio langu Au vipiii wasanii chipukizi jitahidini kuimba kwa tone yako mnafanana sana mnajua kuimba ila tunashindwa kuwatofautisha
Ameandika Lukamba mpiga picha wa @diamondplatnumz
Je lina ukweli hili?....
Tangaza nasi 0714604974