Muki wa Makomando ameweka wazi kuwa hali ya maisha ya dancers Tanzania ni ngumu kutokana na Mashindano yao kuja kwa msimu .
Muki amedai kuwa hali hiyo inawafanya maisha ya Dancers kuwa ngumu huku akiweka wazi kuwa Wasanii hawawalipi madancers pesa ile ambayo wanahitaji na Dancer kumdai msanii anaona atakosa nafasi ya kazi nyingine .