Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Mbowe



Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi, na usikilizwaji wa kesi unaendelea

Mawakili wa Upande wa Utetezi waliweka pingamizi kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi yao kwa mashtaka ya ugaidi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad