Manara "Nifungwe Gerezani Kwa Kuwadanganya Ukubwa wa Simba Ambao Haupo"



"Moja ya kazi kubwa niliyoifanya labda ni kuonesha ukubwa feki hiyo dhambi niliitendea vibaya sana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nipo tayari kuhukumiwa hata gerezani kwa kufanya ulaghai wa kufix ukubwa ambao haupo".- @hajismanara


Haji ameongeza kuwa Yanga ndio klabu yenye mataji mengi zaidi vinginevyo ni uongo ambao yeye mwenyewe hapo nyuma alishiriki kuupika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad