Marekani yakiri shambulizi la drone Kabul lilikuwa 'Kosa la Kuhuzunisha'




Shambulizi lililofanywa na ndege isiyokuwa na rubani yaani drone katika saa za mwisho za Marekani kuwaondoa watu Afghanistan halikumuua gaidi aliyekuwa anataka kuushambulia uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Kabul.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad