Uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili Kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.
Mechi hizo mbili zinatajwa ndio ambazo zitaamua ajira ya kocha huyo ndani ya kikosi hicho cha Mabingwa hao kihistoria wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Chanzo: MwanaSpoti