Mke aliyemfanya Zacharia Hans Poppe kubadili dini na kuwa Muislam kisha kufunga nae ndoa ya Kiislamu huko Mombasa nchini Kenya, B.i Aisha Ashok na watoto wake wawili wamefika Tanzania kwa ajili ya kuaga mwili wa mpendwa wao leo Jumanne, Agosti 14, 2022.