Mrembo Fayvanny Afunguka "Wanaume wote Ni wauaji na kushauri Sio Wa Kuamini"



Mwanamitindo Mwenye Mvuto Zaidi Hapa Tanzania Fahyvanny Ambaye Ni Mzazi Mwenza na Msanii wa WCB Wasafi na CEO Wa Label ya Next Lavel Music (NLM) Rayvanny.

Amefunguka ya moyoni kwa uchungu mkubwa na kusema kuwa Wanaume wote Ni wauaji na kushauri Sio Wa Kuamini na kuwapa Moyo Wako.

"Wanaume Wengi wa Tanzania Wanapendana Sana kuwachezea Wanawake na kuwaacha pasipo kuwa na malengo nao kabisa"

"Kwa hiyo Wanawake Wenzangu Tuache kuwaamini sana kiasi cha kuwapa Moyo wako wa thamani na kuwaamini kupitiliza, Ni Watu Wasio na Huruma kabisa na sisi Bora kuwa Single Tu na kutengeneza maisha na thamani yako kwenye jamii" - Fahyvanny

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad