Msanii Pandamonae wa Nigeria avutiwa na soko la muziki Afrika Mashariki




Pandamonae ni msanii wa Muziki kutoka nchini nigeria ambaye amekuwa akionyesha uwezo wake na ubunifu mkubwa kupitia Beat za wasanii mbali mbali Lakini licha ya hivyo Pandamonae Anatamani kuigusa Africa mashariki kwa uwezo wake kupitia aina mbali mbali ya muziki.

 

Moja ya wimbo wake ambao unafanya vizuri kwa sasa ni “LABALABA” ambao unapatikana katika platform mbali mbali za muziki ukiwa katika miondoko ya Afro beat.



Lakini kwa sasa Pandamonae ameamua kufanya ubunifu wake kupitia beat ya Wimbo wa Akon “don’t matter” kwa kuonyesha uwezo wake.

Tazama hapa na pia unaweza kumfatilia kupitia mitandao yake ya kijamii kwa jina la @pandamonae

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad