Msomi Mwenye PHD Afundisha Chekechea





WALIMU watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za Awali [chekechea] kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo.

Dkt John Timon Owenga, Dkt Violet Otieno na Dkt Daughty Akinyi wamehitimu Elimu ya Uzamivu (PhD) katika chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jaramogi Oginga mwaka 2018.

Tangu kuhitimu Elimu hiyo, walimu hao hawajapandishwa vyeo wala kubadilishiwa nafasi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad