Mume wa Shilole, @rommy3d amemuandikia barua ya wazi mkewe kuwa wasije wakaachana maana wote walioachwa na @officialshilole kwa sasa ni Machizi boti🤪. Rommy ameandika👇
“Barua ya wazi kwenda kwa mke wangu @officialshilole !! 😂..
Naomba usije ukafikiria kuniacha maana kila uliemuacha!! Amechanganyikiwa!!
Na Mungu anisaidie 🙌🏽🙏🏽
Wote tuseme Amin🙏🏽
Povuruksaaa👇🏾😂😂🤣🤣🤣”
Na Shilole akajibu👇
“❤️❤️❤️❤️ Nanzajeeeeee kwako nimefika najua wanaumia sana kukuona unakula raha zako na bado watafute kiti wakae 😂”
Kwahiyo Uchebe na Nuh Mziwanda kwasasa ni machizi bolti?🤪🤪🙌
Wananzengo kazi kwenu naomba kuwasilisha🤣👇