Ney Wa Mitego Azichana Redio Kubwa Zote Bongo "Hawapigi Nyimbo Yangu Licha ya Kuwa ni Nyimbo Pendwa Nchi Nzima"


#RaisiWaKitaa Media Kubwa Zote Hazipigi Kabisa Licha Ya Kua Ni Wimbo Pendwa Nchi Nzima Na Unapendwa Na Watu Wa Lika Zote. Hauna Matusi Wala Hauja Mkashfu Mtu Yoyote Zaidi Umezungumzia Matatizo Yaliyopo Kwenye Jamii Na Ndio Maana Umekua Wimbo Pendwa Zaidi Kwasasa Nchi Nzima. Haujafungiwa Ila Media Tunazozitegemea Kupiga Ili Kufikisha Ujumbe Hazipigi…. Embu Tujadili Kidogo Mnadhani Wanaogopa Nini Na Wimbo Haujafungiwa, Hauna Matusi, Una Tetea Una Wasemea Wana Nchi Na Wao wakiwemo…..
Kasikilize Tena Huu Wimbo #RaisiWaKitaa Alafu Niambie Ungekua Na Media Ungepiga.? Link On Bio☝🏻

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad