Polisi wafungiliwa mashitaka ya mauaji Kenya





Maafisa sita wa polisi nchini Kenya Alhamisi wamefunguliwa mashitaka ya mauaji kutokana na vifo vya ndugu wawili wakati wakiwa kizuizini kwa tuhuma za kukiuka amri ya kutotoka nje kutokana na Covid.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad