HomeSiasaRais Samia Amemteua Dkt. Feleshi Kuwa Mwanasheria Mkuu Rais Samia Amemteua Dkt. Feleshi Kuwa Mwanasheria Mkuu 0 Udaku Special September 13, 2021 Rais Samia amemteua aliyekuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Dkt. Eliezer Feleshi kuwa Mwanasheria Mkuu wa SerikaliAnachukua nafasi ya Prof. Adelardus Kilangi ambaye ameteuliwa kuwa Balozi Tags Siasa Newer Older