Vanessa Mdee na Mpenzi wake Rotimi wamepata mtoto wa kiume
Wawili hao wamethibitisha kupitia Kurasa zao Instagram kwa kupost picha ya kupendeza ya vidole vya mtoto wao mchanga pamoja na jina lake 'Seven Adeoluwa Akinosho'