Samia Suluhu Afunguka "Kuna Waliochukulia Upole Wangu Kama Udhaifu"



Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema "Katika miezi 6 ya urais wangu, nilikuwa mkimya na mtulivu nikisoma Wizara zinavyoendeshwa. Wakati mimi nawasoma, na wao walinisoma. Kati yao, kuna waliochukulia ukimya na utulivu wangu kama udhaifu wakaanza kufanya yanayowapendeza"

Amewataka walioapishwa leo kwenda kufanya kazi vizuri akisisitiza “uteuzi wenu hauna maana kwamba ninyi ni wazuri kuliko wengine, uzuri wenu utaonekana katika utekelezaji wa majukumu yenu"

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad