"Tunapozaliwa wote tunatoka sawa, kuna mwanaume amekuja na kibaka kinasema huyu ana akili zaidi, kuna shape ya kichwa inayosema huyu akiwa na kichwa hiki ana akili nyingi zaidi, kuna mwanaume anayezaliwa na nguo zake, hakuna.
"Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"- Rais Samia Suluhu.