Simba SC. Wenyewe wamethibitisha kuwa wao ni team ya hovyoo, ukiangalia kwenye ukurusa wa instagram wa team ya Simba wameandika hivi
"HATUKUSTAHILI KUPATA MATOKEO HAYA"
Sasa walitegemea apate Nani???
👉Nilitegemea Simba wakishindwa watajipa moyo,nakuwa encourage Wachezaji wao na mashabiki, lakini wenyewe wameamua kujidharaulisha hadharaniii kuwa hawakustahili, Yale matokeo 😂..
👉Sijui wamewaza nini kupost ,post Kama ile ,basi wangeiga hata mfano Kwa Sisi wanayanga! Hata tukifungwaa hatujawahi kusema hatukustahili kufungwa huwa tunapeana moyo wenyewe Kwa wenyewe...
👉 Imagine, mashabiki wa Simba wataweka wapi Sura zao jameni
👉Tukio la Jana limesababisha maelfu kuihama Simba ,na kukimbilia Yanga🤣na Sisi tunawapokea Kwa mikono miwili karibuni jameni Sisi ni ndugu..
👉Simba Kwa sasa sio team tenaa😂ni umoja wa kutangaza biashara za watu TZ..
👉Hakuna watu wanaopitia magumu Kwa sasa kama mashabiki wa simbaa🤣 imagine "Simba day" wakapigwaa ,wakajitia AIBU , Jana tenaa wamepigwaaaa😂duuh
👉All in all polenii watani🤣🤣
SIMBA & YANGA SISI NI WATANI✊
Ushabikiusioumiza
By @sibongile.1
We utopolo fc acha kupindisha maneno hatukustahili kupata matokeo hayo tulistahili kushinda viini macho vyenu vimewasaidia lakini mtabaki mkicheza ligi ya ndani mpaka 2035 CAF champion mtakua mnaiskia kwenye radio saizi hatubebi mtu tumechoka kubeba kichaa kila tukimbeba anatuchafua
ReplyDeleteYou must be crazy
DeleteBlog njaa hizi ni za kublock
ReplyDelete