Sonia "Nina Sauti Kama ya Subaru Lakini Mimi ni Bonge la Pisi"
0Udaku SpecialSeptember 12, 2021
Ebana eeh malalamiko yenu kuwa @soniamonalisa ana sura mbaya na sauti kama Subaru ameyapokea na hakuna jinsi itabidi muvumilie tu lakini yeye anajiona bonge la pisi na si kuwa anawaomba ushauri ila ndio hiko hivyo😂.