Uchebe Afunguka Makubwa "Siku Diamond Platnumz Ananipigia Nilitetemeka"



Ex wa @officialshilole pia ni fundi magari @uchebe1 (FUNDI MAGARI)Katika kipindi cha Malavidavi cha Waaafi Fm amefunguka namna alivoanza kuwa na ukaribu na msanii @diamondplatnumz na msaada alioupata kutoka kwa Diamond.Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Nasibu amenisaidia kweye mambo mengi sana kwenye maisha yangu na hata kwenye kazi zangu za ufundi magari.Hiyo siku nashangaa simu ya Diamond kwa Mara ya kwanza nisiwe muongo nilichukuaga Namba ya Nasibu kwenye simu ya Shilole na nilikua nakaa Nayo tuu maana siwezi kumpigia nitampigia nimuambie kitu gani kwa hiyo nili isave ile Namba sasa nilivokua napigiwa wallah nilitetemeka sana sana sana nikasema ni kitu gani me siimbi siigizi anataka nini kwangu magari yake yote Mapya naenda kufanya nini Kule eeeh maskini ya Mungu me nikaenda kipindi ananipigia sikutaka kuuliza anashida gani nilikimbia kwake haraka"-Ameongea Uchebe


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad