Uchumi Washuka Kwa Asilimia 0.3 Watalii Wapungua Kwa Asilimia 71.5




Ukuaji wa Uchumi #Kenya umeshuka kwa kiwango cha asilimia 0.3 mwaka 2020 kutokana na athari za janga la #CoronaVirus

Kiwango cha Mfumuko wa Bei kilipanda kutoka asilimia 5.3 Mwaka 2019 hadi asilimia 5.4 Mwaka 2020 kutokana na mikakati ya kudhibiti maambukizi iliyodumaza usambazaji wa bidhaa

Pato la Taifa kutoka sekta ya #Utalii limepungua kwa asilimia 43.9 hadi Shilingi Bilioni 91.7 Mwaka 2020, huku idadi ya wageni Hotelini ikipungua kwa asilimia 58.0 hadi Watu Milioni 3.8

Idadi ya wageni waliowasili Kenya mwaka 2020 ilipungua kwa asilimia 71.5 hadi 579,600 ikilinganishwa na mwaka 2019.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad