Ukweli Mchungu, IFM, CBE sio Vyuo Vikuu


"Watu huwa wanachanganya kati ya NECTA Na NACTE kwa sababu ya maneno kushabihiana NACTE ni baraza la Taifa la elimu ya Ufundi wakati NECTA ni baraza la Mitihani la Taifa. Sisi kazi yetu ni kusajili vyuo na kuangalia ubora katika vyuo vya elimu ya kati, ni vyuo ambayo sio vyuo vikuu ambayo vinatoa ngazi ya cheti, diploma, degree mpaka degree za juu.

"Vyuo ambayo sio vyuo Vikuu ni IFM, CBE, Arusha Tech., hizi ni taasisi za elimu zinatoa ngazi ya cheti hadi Masters vyote vipo chini na NACTE"

"Vyuo vikuu vyote vipo chini ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kama UDSM, UDOM na vingine" Dkt. Geofey Oleke - Mkurugenzi wa Udhibiti, Tathmini na Ufuatiliaji NACTE.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad