Unaambiwa Maradhi ya Moyo Huweza Kusababisha Kifo Wakati wa Kujamiiana



Mtu mwenye historia ya Maradhi ya Moyo anaweza kufariki wakati wa Tendo la Ndoa kwasababu Moyo wake utafanya kazi ngumu wakti huo kuliko wakati wa kawaida

Sababu za Magonjwa ya Moyo, hususan kwa Wanawake wenye miaka 50+ na Wanaume wenye miaka 40+ ni Shinikizo la Damu, Uvutaji wa Sigara, Kisukari, Kiharusi na Msongo mkubwa wa Mawazo

Utafiti unaonesha kuwa visa 34 vya Mshtuko wa Moyo kati ya 4,557 hutokea wakati au ndani ya saa moja ya kujamiiana na asilimia 32 ya wale walioathiriwa walikuwa Wanaume

Sumeet Chugh wa Taasisi ya Moyo ya Cedars-Sinai Heart Institute alisema utafiti wake ni wa kwanza kutathmini Kujamiiana kama sababu inayoweza kusababisha mshtuko wa Moyo

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad