Baada ya video yake ya Tik Tok aliyokuwa akimtaka @vanessamdee kutojisahau sana kwa Rotimi kusambaa, wabongo hawajamuacha salama mrembo tokea Nigeria @kimoprah .
Walichokifanya ni kumtaka akae mbali na penzi la Vanessa Mdee na kama hajamove on basi amtafute Jux walipize. Comments za kiswahili zimekuwa nyingi kiasi kwamba atashangaa😁😁.
Haya wajumbe na nyie katoeni nyongo😁