Wafuasi wa Chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) waishio Marekani wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) wakipinga Utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni
-
Kiongozi wa maandamano hayo, Mathias Mpuuga amesema wanataka dunia ione. Wametaka Rais Museveni achunguzwe kwa kukiuka #HakiZaBinaadamu
-
Alipozungumza kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais Museveni alisema #Uganda inaheshimu Haki za Binadamu