Kaburi la Marehemu Pop Smoke Imeripotiwa Kuwa Limevunjwa na Watu Wasiojulikana Wakijaribu Kuiba Jeneza. Tmz Imethibitisha Hilo Baada Ya Ku-share Picha Zilizoonesha Namna Lilivyovunjwa Huko Brooklyn New York
Pop Smoke Aliuawa Baada Ya Kuvamiwa nyumbani kwake Hollywood Hills na vibaka wawili waliokuwa wamevalia Mask usoni, kisha kumshambulia kwa risasi mfululizo.
Alifariki dunia Februari 19, 2020 baada ya kufikishwa katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center mjini West Hollywood
Kwa Habari Zaidi, Usiache Kutembelea Youtube Channel Yetu Ya Swahili Media