Wimbo wa Wizikid wa Essence Umefanikiwa Kufikisha Kiwango cha Mauzo ya GOLD



Star Wa Muziki Kutokea Nchini Nigeria 🇳🇬 @wizkidayo Anazidi Kuandika historia kubwa kwenye muziki wake, Kwani wimbo wa #Essence aliomshirikisha @temsbaby , umefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya GOLD

Ngoma Hiyo Imefikisha Mauzo Hayo Kwa Kuuzika nakala 500,000 kwa nchini Marekani 🇺🇲

Hivyo #Wizkid ametunukiwa Certificate na RIAA Kwa Wimbo Wake huo uliotoka Oktoba 29, 202

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad