Wolper "Mwanangu akitaka kuwa staa sitamzuia, ila bado mpole sana sijui atachagua nini"


Wolperstylish alimaarufu (Mama P) ameongeza kuwa kwa sasa anashindwa kumtambua mtoto wake ataa kwenye sekta gani ingawa bado anamuona mpole sana ila akitaka kuwa staa yeye hana pingamizi.

Kuhusu ratiba zake kubadilika ameeleza kuwa ratiba zake zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana na yote ni kwa sababu ya mtoto.

Kuhusu suala la tuzo amewaomba waandaaji watoe tuzo kwa usawa na sio upendeleo kama tuzo zilizopita ambazo zilizua mijadala mikubwa sana kwani huwa zinapunguza heshima kwa baadhi ya wasanii

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad