Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara imetoa takwimu mbalimbali za msimu wa 2020/21 uliokwisha malizika kwa Simba kutwaa ubingwa. Takwimu hizo zinaonesha Yanga imeipiku Simba kwa kuingiza mashabiki wengi na kuongoza kwenye mapato yaliyokusanywa getini.
OPEN IN BROWSER