Afrika Kusini imezuia matumizi ya Chanjo ya COVID 19 kutoka Urusi ya Sputnik V kwa madai inaongeza hatari ya kupata Virusi vya UKIMWI kwa Wanaume
Shirika la Afya Duniani (WHO) halijaidhinisha Sputnik V kwa matumizi ya dharura, lakini imekuwa ikitumika katika Mataifa 45 ikiwemo Zimbabwe na Namibia
Taasisi ya Gamaleya ambayo imetengeneza Chanjo hiyo imeahidi kuthibitisha kuwa haiongezi maambukizi kama inavyodaiwa na madai Afrika Kusini