Afrika kusini yasitisha matumizi ya chanjo ya Sputnik V kutoka Urusi





Afrika Kusini imezuia matumizi ya Chanjo ya COVID 19  kutoka Urusi ya Sputnik V kwa madai inaongeza hatari ya kupata Virusi vya UKIMWI kwa Wanaume

Shirika la Afya Duniani (WHO) halijaidhinisha Sputnik V kwa matumizi ya dharura, lakini imekuwa ikitumika katika Mataifa 45 ikiwemo Zimbabwe na Namibia


Taasisi ya Gamaleya ambayo imetengeneza Chanjo hiyo imeahidi kuthibitisha kuwa haiongezi maambukizi kama inavyodaiwa na madai Afrika Kusini
 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad