Watu tisa wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa baada ya basi la Emigrace linalofanya safari zake kati ya Babati Mkoa wa Manyara na Dar es Salaam kupinduka.
Ajali hii imetokea leo Jumamosi October 2, 2021 katika mteremko wa milima ya kolo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ambapo Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Besta Magoma amethibitisha, taarifa zaidi kukujia.#RIP🙏🏿