Kwenye mitandao ya kijamii kumetokea na kushambuliana baina ya timu Wasafi na timu Konde, hii ikitokana na show zinazoendelea huko Marekani ambapo @diamondplatnumz na @harmonize_tz (Marais wa hizi timu) wanafanya Music Tour. Mijadala mikubwa ikiwa ni nani amejaza show kuliko mwenzie,show imefanyika venue gani n.k.
Ishu hii imemuibua rapa @wakazi akisikitishwa hasa kuona watu wa karibu wa wasanii hawa ndio wamekuwa mstari wa mbele kuleta mgawanyiko,akitolea mfano kwa wanaijeria ambao licha ya kila mmoja kuwa na jina ila kwenye ishu kama hizi (shows za nje) husapotiana.
Inaonekana ishu hii pia,Lukamba (mpiga picha wa Diamond )ameichukulia personal na kuamua kutumia sehemu ya Insta story kujibu hoja ya Wakazi.
Hilichoandika Lukamba👉