DIAMOND Platnumz Anunua Saa ya Milion 69



Star Wa Muziki Barani Afrika SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Anunua Saa Aina Ya #Rolex Yenye Thamani Ya $30K (TSH.MILIONI 69)

#SIMBA Amemwaga Mamilioni Ya Fedha Kwenye Saa Hiyo Ambayo Mastaa Wengi Wa Dunia Upendelea Kuvaa Kama Vile #JAYZ #Drake (@champagnepapi ) @kanyewest @justinbieber Na wengine

Akiwa katika Tour yake nchini Marekani 🇺🇸 @diamondplatnumz ame share Katika Insta Story yake Video Clips zikionesha akinunua Saa Hii aina ya ROLEX

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad