Web

Dkt. Gwajima : Watoto chini ya miaka 18 hawatachanjwa

Top Post Ad




Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID 19  zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee

Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari yao baada ya kupokea Elimu. Mtoto akikimbia Shule ametoroka tu"


Aidha, amesema baada ya Dozi za Chanjo aina ya #Sinopharm kupokelewa Nchini, Mamlaka husika zitachukua sampuli ili kujiridhisha kitaalamu

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.