Inasemekana mpiga picha wa DiamomdPlatnumz Lukamba kwa sasa hana kazi, ni Muda mrefu ameonekana akiwa benchi huku nafasi yake ya kumpiga picha Diamond Platnumz ikiwa imechukuliwa na Mpiga picha wa Mbosso, Habari za Kunyapia zinasema kisa na mkasa wa kuwekwa benchi ni kuwa Jamaa anaendekeza sana Mapenzi
Katika picha aliyoposti leo kumuwishi Diamond Siku ya kuzaliwa kwake, Rommy Jons amekomment "Si umefukuzwa kazi wewe"
Kuna ukweli wowowte?😂😂👇