“Tusiwe kama wenzetu ambao wakifungwa tu, wamesalitiana, hakuna mpira wa hivyo, haupo ni Uwendawazimu huo, unapata uongozi wa timu alafu unapata wapi ujasiri wa kusema timu haiwezi kufungwa kina Pep Gadiola, Brazil, Barcelona Wanafungua wewe una nani usifungwe”- Haji Manara