Hatimaye Mtoto wa G Habash Malkia Karen Ajifungua Mtoto wa Kiume





SIYO stori kwamba, mrembo kunako Bongo Fleva, Malkia Karen alikuwa mjamzito wa miezi mingi na leo Oktoba 27, 2021 amejifungua mtoto wa kiume.

Leo ukiachia kupata mtoto pia ameachia wimbo mpya uitwayo ‘haja’ ambayo kwa ufupi tu anauonesha msimamo wake mpya kwa mtu ambae hajamtaja jina lakini mistari ameandikiwa….. “naona una zugazuga bado, kumi na nane siingii, hasira hasara kupenda sana ukaninyanyapaa nami nikaona haina maana, haina haja”

Karen ni mtoto wa Mtangazaji nguli wa Clouds FM, Gardner G. Habash

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad