Human Cloning Ni teknolojia ya hali ya juu sana inayohusu kutengeneza binadamu maabara genetically, ambapo huchukuliwa Cells na tissue za mtu fulani kisha kuzalishwa ili apatikane mtu mwingine ambaye atafanana na huyu wa awali.
Kiumbe kilichotengenezwa (Copy) hufanana na kile kiumbe cha kwanza kwa zaidi ya asilimia 90, kitabia na kimuonekano, Teknolojia hii(Cloning) imeanza miaka ya 1960s. Kuna nchi takribani 70 teknolojia hii imezuiiliwa kutumika, mfano India, Argentina, Australia, Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia hii. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.
KWANINI WANAFANYA HUMAN CLONING?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo. Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi kwa maelekezo ya waliomuumba.
INASEMEKANA(HAKUNA UHAKIKA), HIZI NI BAADHI YA CLAIMS AMBAZO BADO HAZINA FACTS ZA UHAKIKA ILI KUFANYA WATU WAAMINI.
Michael Jackson wa ukweli alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa Copy yake. Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, mfano Gucci Mane, Eminem, Beyonce, nakadharika.
Inasemekana Eminem wa ukweli alifariki mwaka 2006, ndipo huyu wa sasa akatengenezwa.
Pia Beyonce wa Ukweli alifariki mwaka 2000, then Lebo yake ikaona itapoteza/Itakosa pesa nyingi sana, wakaamua waunde mtu mwingine wa kufanana nae.
Msanii Tom MacDonald anawimbo unaitwa "Cloned Rappers", humo ndani kuna mistari iliyoleta sintofahamu kubwa.
"The Illuminati knows the answers
Takin' bone samples to clone rappers
Put the artists in prison to silence their vision
Genetic copies goin' home after
They look different, eyes shifted
Smile missin', skin lifted, it's scientific
If they can't control you they erase the old you
Get your duplication to enforce their Message."
Mbali na kufanya Cloning inasemekana kuna wasanii wakubwa duniani huwa wanafungwa kwa kusingiziwa ili kulinda maslahi ya watu wasiojulikana- Rejea Issue ya R-kelly.
DUNIA INAMENGI SANA, VIPI UNAKUBALIANA NA HILI SUALA LA HUMAN CLONING, KWAMBA LIPO KWELI?