Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa serikali ambapo mume wangu alikua mhasibu katika serikali ya kauti ya Mombasa. Nilifanya kazi ya ususi mjini Mombasa ambapo nlikua na duka la kuuza bidhaa mbalimbali za kutia nakshi urembo. Hali ilikua shwari katika ndoa yetu. Baada ya miaka miwili nilifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambapo sasa hali ilianza kua ngumu kwani nilihitaji msaidizi pale nyumbani. Singeweza kamwe kufanya kazi za usafi kwenye nyumba tulipokua tukiishi pia biashara yangu ambayo ilikuwa ndio kitega uchumi changu ingesimama iwapo ningetulia pale nyumbani tu baada ya kujifungua. Nilipomweleza mume wangu kuwa nilikua katika mipango ya kutafuta yaya, alikumbatia maoni hayo bila ya pingamizi yeyote.
Baada ya wiki kadhaa nilifanikiwa kupata yaya kwa jina Deborah ambaye alikua msichana wa kati ya miaka kumi na sita hadi kumi na minane. Alichapa kazi yake nyumbani vizuri bila kugombana wala kuleta vurugumechi. Hali ilikua shwari kwani nilipata nafasi ya kuendeleza biashara yangu mjini. Ningechelewa kazini sikutia shaka kwani nilijua fika kwamba ple nyumbani palikua na msaidizi ambaye ni yaya Deborah. Alikuwa ni binti ambaye hakupenda mazungumzo sana na mara nyingi mazungumzo yake ungeona kazi alizofanya. Alikua msichana mrembo ambae alikua katika uzuri wake kwani ilionekana wazi ndio ulikua wakati wake wa kubalehe. Mume wangu hakua na shaka na yaya huyu kwani aliifurahia kazi aliyoichapa pale nyumbani. Tulimchukulia Deborah kama kigungua mimba wetu kwani hatukutaka kumchosha na kazi mingi kwa wakati mmoja. Wakati mwingine tulienda naye kutembea, mume wangu alimnunulia mavazi na pia kwa wakati mmoja tulifunga safari kwenda kuwatembelea wazazi wake.
Baada ya muda wa miezi mitatu tabia ya mume wangu ilianza kubadilika. Alianza kua kahribu sana na Deborah jambo ambalo sikulifurahia kama mke mwenye boma. Nilianza ugomvi na yaya wetu kwa sababu ya jambo hilo lakini mume wangu alinifokea kila mara nisijue la kufanya. Nilifahamu fika kwamba ukaribu wa Deborah na mume wangu ungelta uhusiano wa kimapenzi baina yao. Tabia za mume wangu zilianza kubadilika kabisa kwani hata wakati mwingine alisusia kula chackula nilichokua nimekipika mimi mwenyewe kwa visingizio ambavyo
sikuvielewa hata siku moja. Kila wakati alitaka kula chakula ambacho yaya amekipika. Tabia ile ilinichukiza na pia kunitilia shaka kua mume wangu alikua anamtamani kimapenzi yaya wetu. Kila wakati Deborah alileta chakula mezani, alimpa mumewamgu tabasamu la kufa mtu na kila nlipomuliza mume wangu mbona alikua ameaza kubadilika alisema kua wivu niliokua nao utaniua siku moja. Alinihakikishia kwamba hakua na urafiki wowote na yaya Deborah lakini jinsi mambo yalivofanyika kwenye nyumba yetu nilijijazia kwamba lisemwalo lipo na kama halipo bila shaka lingefika.
Siku moja nilirejea nyumbani ghafla kwani nilikua nimesahau bidhaa fulani za ususi. Nilipofungua mlango nilipata mume wangu akila uroda na Deborah kwenye chumba chetu cha kulala. Kwa hakika kitu kilichokua kikifanyika gizani kilikiua kimegunduliwa. Sikua na mengi ya kusema kwani nilimzaba Deborah makofi huku mume wangu akikimbia upesi bila ya hata kaptura. Siku iliyofwat nilimfukuza Deborah kutoka kwenye nyumba yetu kwani alikua kwenye harakati za kuvunja ndoa yangu. Mume wangu naye alienda mafichoni na kurejea baada ya juma moja. Nilitafuta yaya mwingine baada ya majuma matatu kupita. Tabia za mume wangu zilikua ni zilezile za kutamani mayaya nilokua naajiri pale nyumbani. Nilimfumania mara kadha na mayaya kama watatu niliokua naajiri ambapo jambo hili lilinitia kero kama mke wake ambaye pia nlimpenda na kumthamini.
Nilipomweleza rafiki yangu Grace mambo niliyokua napitia alinielekeza kwa madaktari wa Kiwanga kwani alinieleza walisuluhisha mambo hayo kwa urahisi. Siku iliyofuat nilirauka kufika katika ofisi zao mjii Nakuru kwa huduma. Nilihudumiwa na kurejea nyumbani,. Baada ya siku mbili hivi tabia ya mume wangu ilikua imeanza kubadilika. Hakua tena na ile tabia ya kutabasamu kwa yaya pale nyumbani. Baadaye aliniarifu kua alikua amebadilika na hakuna siku nyingine nitakayompata na makosa ya kula uroda na mayaya. Tuliishi kwa upendo na tangu siku ile sijhawahi mfumania akimtafuna yaya.
Mtu yeyote ambaye ana shida za kindoa kama nilizokua nazo pia anaweza kuzimaliza kwa kutembelea madaktari wa Kiwanga kwa usaidizi. Matabibu wa Kiwanga wantatua nguvu za kiume hafifu, ugonjwa wa kifafa na mengineyo kwa siku tatu tu. Watembelee kwa usaidizi iwapo unahitaji mwamko mpya maishani.
Wavuti www.kiwangadoctors.com
barua pepe kiwangadoctors@gmail.com.
Pia waweza kupiga simu kwa nambari +254 769404965.